flash3

Thursday 4 April 2013

UVUMILIVU UMEMSHINDA MAMA MZAZI WA MAREHEMU MICHAEL JACKSON

katherine-jacksonnew-bigbig
Uchaguzi wa wazee wa baraza ambalo litasimamia kesi mpya ya madai ya fidia ya dola bilioni 40 dhidi ya waliokuwa mapromota wa Michael Jackson AEG live, umeanza rasmi na safari hii mlalamikaji akiwa ni mama wa Michael, Katherine Jackson.
BAD-TOUR-michael-jackson-21071123-963-978
Katherine anadai kuwa, kifo cha mwanaye kimetokana na uzembe wa AEG Live ambao ndio waliohusika kumuajiri daktari Conrad Murray, ambaye kwa sasa yupo kifungoni kwa kosa la kumuua Michael Jackson kwa kumzidishia dozi ya dawa.
Gonga continue reading kuendelea..

Daktari huyu pia amezungumza akiwa kifungoni na kueleza imani yake kuwa anaona bado hana hatia, akiwa na mpango wa kukata rufaa hivi karibuni.
Tayari wasemaji kutoka AEG Live wamesema kuwa hawana hatia na hawahusiki kwa namna yoyote kusababisha kifo Mfalme wa Pop MJ.

No comments:

Post a Comment