flash3

Wednesday 17 April 2013

Eliano Kuzindua Kanda Yake Ya Kwanza....


Uzinduzi….
Msanii wa Nyimbo za injili na za kizazi kipya, Elien Elisha Maarufu kama Mtaliano Eliano, Anatarajiwa Kuzindua kanda yake mpya mnamo jumapili wikendi hii.

Akizungumza na Jembe La Fani Eliano asema muziki wa injili umechukuwa mrengo mwingine huku akitaja kuwa ipo haja ya wana muziki wa injili hapa mkoani na Kenya nzima kushirikiana na kufaulu katika huduma hio.
Hata hivyo tamasha hilo linatarajiwa kuwajumuisha Wanamuziki kutoka Nairobi kama vile Masha Mapenzi, Kambua, The Great Mungaz,  Michael Yenna Na
wengineo.

No comments:

Post a Comment