flash3

Thursday 18 April 2013

Alkeni Na Mapya Baada Ya Kuachilia Mwiba Mpya.......


Hapa jijini napo msanii wa nyimbo kali za mahaba Alkenia Luv, hii leo amejulisha jembe letu la fani kuwa anayo safari ya kuvuka nchini Tanzania kufanya traki mpya chini ya studio za Ip zilizoko pande za Kariakoo producer Akisali kuwa Pg.
Alkenia asema alikubali na kuzipenda kazi za producer huyo wakati alipokuwa humu nchini japo kwa muda mfupi akifanya kazi na studio za Houz Of Grace iliyoko pande za Mtopanga hapa msa.
Kumuhusu Pg hata hivyo, Kashawafanyia, kazi wasanii wakubwa wa bongo mmoja wao akiwa Barnaba Boy.
Alkenia anayevuma na mawe mazito ya hisia, Moyo, Kimbia Baby Why na sasa Mapenzi aliyo shirikishwa na Mkali wao wa michano J-kiny, asema kuwa kabla safari yake kutayarika, mashabiki wake watarajie video ya Wimbo baby why atakayoiachilia hapo kesho.
Wakati uo huo Alkenia anasema atakaporidi humu nchini, anatarajia kizindua rasmi video hizo akinitajia kuwa mkahawa wa Lambada umekuwa chaguo lake la uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment