flash3

Tuesday 23 April 2013

MSANII MAARUFU WA NCHINI NIGERIA ATANGAZA KUFANYA ZIARA HUMU NCHINI SIKU YA MALARIA DUNIANI

Omawumi
Msanii wa muziki nchini Nigeria ambaye anashikilia rekodi ya kushinda tuzo mbalimbali, Omawumi Megbele anatarajia kutembelea Kenya kwa ziara ya siku mbili kwa ajili ya shughuli ya kuongeza uelewa juu ya ugonjwa wa Malaria nchini humo.
Katika ziara hii, Omawumi ambaye anatamba sana kwa rekodi kali kama vile If You Ask Me atatembelea hospitali ya kenyatta katika wodi za wazazi kati ya sehemu nyingine ambazo huitaji kwa kiasi kikubwa ulinzi na tahadhari dhidi ya malaria.
Gonga continue reading kuendelea..

Ziara hii inakuwa ni maalum kwaajili ya maadhimisho ya siku ya Malaria Duniani ambayo itakuwa ni Jumatano ijayo.

No comments:

Post a Comment