flash3

Friday 12 April 2013

PETE EDOCHIE AMKANA MWANAE

ephy21
Katika kuthibitisha usemi usemao Hakuna siri ya watu wawili duniani, Mwanamitindo chipukizi anayefahamika kama Ephy Saint huko Nairobi Kenya, ameibuka na kudai kuwa, mwigizaji mkongwe, Pete Edochie ni baba yake wa kumzaa, lakini kwa mara kadhaa amekwishamkana kuwa sio mwanae.
pete-enehs-tribute-night-2-pete-edochie
Pete Edochie (Pichani)
Ephy Saint ambaye pia ni mwigizaji ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 23, ameongezea kuwa, ingawa baba yake amemkataa, hata ikitokea amepoteza maisha leo, bado angependa kuzikwa Nigeria ambapo ndipo anapoishi baba yake.
Gonga continue reading kuendelea..

No comments:

Post a Comment