flash3

Thursday 25 April 2013

OMMY DIMPOZ AONGOZA KINYANG'ANYIRO TUZO ZA KILI 2013

Katika majina ya wasanii waliotajwa leo hii kuwania tuzo za Kili 2013, Ommy Dimpoz ameonekana kuongoza kwa kuchaguliwa katika categories 6, akifatiwa na Ben Pol ambae amechaguliwa katika sehem 5 tofauti, Mwasiti 4 na Kala Jeremiah 4.
Mwaka huu pia mabadiliko yameonekana pale walipoamua kuongeza categories kutoka 24 zilizokuwepo mwaka jana, mpaka kufikia 37 mwaka huu .








No comments:

Post a Comment