
Hapa
ni Gongo la mboto Dar es salaam, wazazi hawa walianza kuishi hapa baada
ya kushindwa kumuda bei ya nyumba karibu na mjini walikokua wanakaa
mwanzo, kodi ya hii nyumba yenye sebule na chumba ni elfu 20 mwa mwezi,
iko mbali sana kutoka barabarani ambapo kwa gari ndogo nilitumia dakika
58.

kwa
sasa hivi Dogo Aslay ambae anafanya muziki wa bongofleva anawasaidia
wazazi wake kujenga nyumba ambayo itawafanya wawe huru na kuondokana na
maisha ya kupanga ambayo yaliwahi kumlaza baba yao polisi kwa kushindwa
kulipa kodi.
No comments:
Post a Comment